Kilawangan

Kilawangan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walawangan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kilawangan imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilawangan iko katika kundi la Kibarito.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search